Sasa mume wangu yuko kwa mke mwenza, ngoja mwezi ujao akirudi tutakuja.Sio ubaguz jiran ili wewe na mumeo mbarikiwe pamoja unataka uombewe peke ako tu jiran
Ha ha ha ha sa hv angekua anapita na kusoma kama guest vile ha ha haangerud na adabu sana huyu
Jirani nitakununia ujue.Ha ha ha ha umesema utaandamana utoe chochote enhee?
Sawa jiran kama atakuja na yeye bas unaweza kuja mapema ili kujiandaa kiroho kabisaSasa mume wangu yuko kwa mke mwenza, ngoja mwezi ujao akirudi tutakuja.
Nipitie tu jirani, na hivyo mume atakuwa kwa mke mwenza ninahitaji mazoezi kwakweli.Baas kesho tutaenda wote mazoezn vip nkupitia jiran yangu
ha ha ha ha kumbe jiran mshavushana server na shemej yako au ulikuwa unapeleka mchango wa sendof ya dota wake Heaven SentKiburi kingemwisha huyu, angebaki kututafuta wasapu, na mimi ningemkazia.
Mguu ulinasa kwenye mawe mwenza[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mke mwenza hebu sema vizuri, usisingizie mazoezi bwana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Utawala wa baba Magu umeingia kila sehemu.
Naona ukauzu na udagaa tu usoni mwao
Naona wanakuja kila mtu kivyakeNaam
Ha ha ha kwel kabisa majiran wa kutoleana nguo kipind cha mvua enheeAaaah!! Mimi na wewe ni majirani bwana. Majirani wema.
Shemeji we ni wa kunifanyia hivyo kweli!!!Kiburi kingemwisha huyu, angebaki kututafuta wasapu, na mimi ningemkazia.
Wameizoea kaziAlafu zamani hadi mods walikuwaga wanajichanganya kwenye chats, siku hizi walaaaa.
Ha ha ha ha hakuna shida jiran ntakuja kukupitia ila lile dera lako uliache sawaNipitie tu jirani, na hivyo mume atakuwa kwa mke mwenza ninahitaji mazoezi kwakweli.
Nije lini jirani?Sawa jiran kama atakuja na yeye bas unaweza kuja mapema ili kujiandaa kiroho kabisa
Ha ha ha yaishe bas jiranJirani nitakununia ujue.
Muongo huyu jirani yangu!! Bora tu nihame niwe nae mbali.Halafu eti anasikitika wewe kuachiwa mapema.
Uje leo jion jiran tutaanza zoez halafu tunamalizia na maombiNije lini jirani?