myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
he! mm nilikuwa wapi? hujambo..siku hizi nimekua mvivu sana....Ama kweli sipendwi mie, hata hakuna mtu aliyenitaja: basi mie nawapenda hawa wafuatao:
mshana jr, myoyambendi , Mulhat Mpunga , Saint Ivuga , Ngoda95 , betlehem
sister huyo ndio wifi yako huna budi kumvumilia na ujitahidi kupumua bado nakuhitajiMhh kweli? Maana toka umepata hako kamchepuko mnakobebishana tabu tupu hatupumui
ongeza dozi ili nimsahau kabisaOhooooo!! Sasa mume wetu utaniletea balaa na mke mwenza. Hebu jitahidi uende, kakae angalau mwezi mmoja tu.
[emoji13] [emoji13] [emoji13] au ninye boga[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Meza tikiti.
Ahsantwkaribu lovely Dada
Hivi jirani hivyo ndio kunibembeleza kweli!!!!Ha ha ha jiran hvi unafikr nan atakuwa ananiwashia ile taa ya nje nikiwa sipo au unafikr sikumbuk zile vurugu zako za kila mwiso wa mwez
Wiiiifiiiiii, maaambo!!Mhh kweli? Maana toka umepata hako kamchepuko mnakobebishana tabu tupu hatupumui
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]sister huyo ndio wifi yako huna budi kumvumilia na ujitahidi kupumua bado nakuhitaji
Sasa baby si ulisema apunguze kitambi umrudie? Limeshaisha.ongeza dozi ili nimsahau kabisa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji13] [emoji13] [emoji13] au ninye boga
Bwana bwana kile kitufe hakipoooHivi jirani hivyo ndio kunibembeleza kweli!!!!
wewe na mimi tuSasa baby si ulisema apunguze kitambi umrudie? Limeshaisha.
Nani wifi yako unokomeWiiiifiiiiii, maaambo!!
Yaani itabidi uwe unanipa rushwa nitakupenda labda[emoji13][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aaaah kabisa, kwa kakayo ndo nishatua mizigo mie, siendi popote. So chukua kiti ukae wifi yangu. Huna jinsi zaidi ya kunipenda kama ninavyokupenda.
Kuniletea mtu nisiyempenda naona kabisaa unataka kunipunguzia siku za kuishisister huyo ndio wifi yako huna budi kumvumilia na ujitahidi kupumua bado nakuhitaji
Jitahidi tu jirani.Bwana bwana kile kitufe hakipooo
Ohoooo!! Kwahiyo nimwambie leo unakwenda au umeghairi?wewe na mimi tu
kamq michanga na jangwa
Hahahaaaa!! Wifi langu hiloooo.Nani wifi yako unokome
Rushwa dhambi.Yaani itabidi uwe unanipa rushwa nitakupenda labda[emoji13]