Ndio unipende tu, maana hamna namna.Kuniletea mtu nisiyempenda naona kabisaa unataka kunipunguzia siku za kuishi
...we hutaki??Kwani unataka kukumbushia?
oooh Thanks Baby espy Good afternoonBaby joseverest good morning.
Haha mimi na nani tunakujaga pamoja?Mie ndio kuitwa aunty nilishasahau kabisaaaa maana hali si hali.
Jirani yangu Bonny sijui kajificha wapi na Madame B sijui Heaven Sent maana huwa wanakuja pamoja na kupotea pamoja.
Ndo kwamba unanitafutia mume kinguvu au?Oooooh!!! Kama sio Shunie basi itakuwa Heaven Sent
Bora madam umenitetea
Mi si nimeuliza tu jamani!!!...we hutaki??
Hapana.Ndo kwamba unanitafutia mume kinguvu au?
Tangu lini?
Mmmh
Thanks be blessedGoood afternoon baby j.
Ha ha ha ha mapendo ya kilazma hayo sio mchezo aiseee duuhSwahiba kumbe wew huhusiki na mapendo eee..!!!!!
Ngoja nikuhusishe kwa nguvu.[emoji180][emoji180][emoji180][emoji180][emoji180][emoji180][emoji180][emoji180][emoji180][emoji180][emoji180][emoji180][emoji180][emoji180][emoji180][emoji180][emoji180]
Lazima uumwe kichwa na hiyo mikukiHa ha ha ha mapendo ya kilazma hayo sio mchezo aiseee duuh
We acha tu aiseee mahaba lundoooooLazima uumwe kichwa na hiyo mikuki
Tangu jana.Tangu lini?
Shikamoo jirani.Mmmh