Hakuna nouma aiseeh arifu.Mimi na wewe tutaonana soon.
Chalii wangu wa Chuga. Hahaha
Aiii weweSasa mimi atanifuma wapi wakati mie nakufuma wewe tu kama uzi na sindano
we jamaa unatamani kuchenjua makinikia ambayo hata huyafaham? Shauri yako utauziwa mbuzi kwnye gunia
Piga goti ushukuru maana ukiona unapendwa na hawa viumbe ujue walet yako iko mbioni kukaushwadah! mimi tu ndo huwa sina bahati ya kupendwa..........wadada mungu anawaona tu!
[emoji8] [emoji8]Kwel kabisa
Hahaaa nahavache ninakutaja huku nilipo aikuhz naona uzito sana kuingia jfAma kweli sipendwi mie, hata hakuna mtu aliyenitaja: basi mie nawapenda hawa wafuatao:
mshana jr, myoyambendi , Mulhat Mpunga , Saint Ivuga , Ngoda95 , betlehem
Bonny asikutishe huyu bhana.kwanini usiseme "But I really LOVE women"!!!Brother mwanamke akishakuchoka atakufanyia kila kitimbi ilimradi muachane..
But i realy LOVE woman..
Mashalaaah mzigua[emoji8] [emoji8]
Kwahyo mkuu wewe umechokwa na unallijua hilo right?Brother mwanamke akishakuchoka atakufanyia kila kitimbi ilimradi muachane..
But i realy LOVE woman..