Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,819
MapopoMP ni naniiii
Ha ha ha mbabe wake si unamjua lakin ngoja tumuiteNa sio wa kumwambia
Mamdogo hiyo ndiyo salamu?MP ni naniiii
Bamdogo hivi hatujaonana nisamehe tu haya niambie kuhusu huyo MPMamdogo hiyo ndiyo salamu?
Ya makwenzi.Ili ukamvuruge.
Ya nini
Sitaki.Tulia hvyo hvyo
Bakini na huyo mbunge wenu mfyuuuMapopo
Nina hasira na bwana moto.Una hasira baada ya jela
Huyu hamtakiwi kumjua kwanza mtaharibu tulieni hivyo hivyoBamdogo hivi hatujaonana nisamehe tu haya niambie kuhusu huyo MP
Am very okey auntie.Unaendeleaje lakini auntie
Mie mzima hofu kwako sana jamaan
[emoji57][emoji57]Ya makwenzi.
Naskia anambabe wake shangazi yako[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hili swali hata mimi hahitaji jibu lake.MP ni naniiii
Sasa hivi nimejipanga, akuje tu nimtoe busha, namuendea kwa babu[emoji57] [emoji57] [emoji57]Ha ha ha mbabe wake si unamjua lakin ngoja tumuite
Mh kwahiyo sisi vivuruge aje tumjue tuHuyu hamtakiwi kumjua kwanza mtaharibu tulieni hivyo hivyo