Laana nimefanyaje tena bamdogo [emoji15]Haha huyu mtoto namwachia laana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Njoo pm[emoji57] [emoji57] [emoji57]
Haujui kwaniLaana nimefanyaje tena bamdogo [emoji15]
Ila tutamjua tu ujueNaunganisha dots tu!!!
Haitii mimba ila me siipendi tuUtalikuta tu hata usiposoma... halafu kwani pm inatia mimba?
Msiishie kuunganisha dots tu unganisheni hadi vifungashio vya sidiria [emoji125] [emoji125] [emoji125]Ila tutamjua tu ujue
Naunganisha dots tu!!!
Sasa hivi ukiitwa pm inabidi uchungulie kwa machale saanaHaitii mimba ila me siipendi tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Msiishie kuunganisha dots tu unganisheni hadi vifungashio vya sidiria [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hahahh ni nyie wenye pm zenu ila majuzi nilicheka ukisikia njo pm watu weweeeh dude limeshaamshwaSasa hivi ukiitwa pm inabidi uchungulie kwa machale saana
Hahaha... tumeshazoea pm za kupata vitu adimu ila juzi pm zikaanza kuogopwaHahahh ni nyie wenye pm zenu ila majuzi nilicheka ukisikia njo pm watu weweeeh dude limeshaamshwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaha... tumeshazoea pm za kupata vitu adimu ila juzi pm zikaanza kuogopwa
Kuwa mzalendo, sambaza upendo.Mwanadamu ameumwa na roho ya kupenda.
Upendo ni amri kuu kuliko zote kama unampenda mtu wa Humu JF mwambie ajue kuwa anapendwa kupendwa raha jamani.
Mi nakupenda paprikaKwa yeyote anaesoma hapa!!!
Mmmmmwaaaaa! [emoji38]
umemkomesha sana huyo baby
Yaani naugonjwa na nyie mm ususani nikinywa vitu vyanguTunakupenda pia
Ha ha ha ha kuna file moja ntampa Hilo ila gumu sana