Shindwaaaaaa!!Hautaki tuwe mashemeji nini
Namcheki tu anavyopoteza points kila kukicha. Usimstue, muache ili tumjue vizuri.Wifi yako huyo ongea taratibu
Baba yangu.[emoji23][emoji23]
Kesho ni nani
Wewe lazima nikugawe utake usitake na usawa huu wa magu hatuwezi kuwa na mtoto wa kike nyumbani anayeishi na mo bila mahari.Shindwaaaaaa!!
Hivi unajua mpaka leo bado nakumind!!!Daby njoo unambie huyu mwanamke kajuaje huvai hayo makitu?
Daby c alishasema kazaliwa kipind cha njaaKivuruge sana haka kamwanamke
Daby kasingiziwa dada hapo
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]Daby c alishasema kazaliwa kipind cha njaa
Daby ndo kashafika hapa hatoki hata kwa greda. We na mapoint yako utajijuNamcheki tu anavyopoteza points kila kukicha. Usimstue, muache ili tumjue vizuri.
Mi mwenyewe nakumaind vilevile[emoji35]Hivi unajua mpaka leo bado nakumind!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Daby ndo kashafika hapa hatoki hata kwa greda. We na mapoint yako utajiju
Basi ndomana,yani pasua kichwa huyu mwanamke sijapata onaDaby c alishasema kazaliwa kipind cha njaa
Bonny mzee mwenzangu hawezi kukuchukua nikiwepo...
Mi mwenyewe mziki wangu si unaujua!!Utawezana na mziki wa wifi?
[emoji23][emoji23][emoji125] [emoji125] [emoji125]Mi mwenyewe mziki wangu si unaujua!!
Afunge domo lake fanye yanayomuhusu, yangu ayaache.
Utanuna sana[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
Hivi unapata wapi ujasiri wakumjibu mumeo kiasi hicho???Mi mwenyewe nakumaind vilevile[emoji35]