Naisujaki Lekangai
JF-Expert Member
- Aug 19, 2012
- 1,340
- 1,377
Kwenye thread hii nawalenga wanajf wa mkoani kilimanjaro waliojiunga na Bima ya afya ya Jamii Afya inayosimamiwa na Vodacom na Jubilee Insurance.
Kwa mkoani kilimanjaro zimeteuliwa hospitali za binafsi (private) kutoa matibabu.Hakuna hospitali ya serikali iliyoteuliwa kutoa huduma hii. Kama wewe unayesoma thread hii umejiunga na bima hii mkoani kilimanjaro au popote hapa nchini, naomba unijulishe yafuatayo:
1)Je huduma za huu mpango unaridhisha? (ie customer care etc etc)
2)Huduma hii ina changamoto gani?
3) Mteja mtarajiwa ajiandae kukumbana na changamoto gani?
Asante