Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,580
- 18,193
hili gurudumu nipo nalo hadi mwisho wa safari, kama ww unajitoa mzee ina maana wengine wakutayarishie njia, haya bana ! mie nilijitoa then nikajiweka tena ! teh teh
sijitoi ng'o, manufaa ya taifa, hasara za taifa ni za wote na sio serikali peke yake, serikali na wananchi wake wangekuwa wananufaika sasa hivi UNGEFIKIRIA KUJITOA ??
Ogah,
Code Zero amenipenda..ila kunilinganisha na hasara hakunitendea haki-🙂
WanaJF waliojitoa na kutokuwa na imani na serikali ya JK, Hasara nitakuwa wa kwanza kutokana na yanayoendelea katika uongozi wake, na kuwa na washauri wabaya.
Nimejitoa kuanzia leo.
Kweli mkuu nakubali, wewe ulitakiwa ulinganishwe na watu kama kada mpinzani, Mtu wa pwani, engineer Mohamed na kibunango
Hee wee Mbalamwezi ndio Code zero!!!......duhhh
Labda Kakupenda!awali ya yote, wewe shalom una tatizo gani na jina langu?