Wanajf waliopo Tabora tukutane hapa

KAJOBO

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2014
Posts
407
Reaction score
348
Ni matumaini yangu mu wazima,
Kwa watumiaji WA mtandao pendwa WA Jf mliopo TBR karibuni tupige mastori mbalimbali, WA mikoa mingne karibuni pia
 
Ni wa Tabora ila sipo huko kwa sasa.

Mnataka mjadili kuhusu nini?
Mambo mbalimbali yahusuyo Tabora,,,of course nowadays Mboka ina develop kwa mambo mengi Sana
 
Nimechil mitaa ya Kariakoo nawaza kwenda Uhazili kwa Luca nikapige kiepe
 
Unanikumbusha maeneo ya home, rest in peace dingilai.. Sipo mkoa huo kwa sasa ila huwa kila mwezi wa 10-12 nije huko kutizama asili kidogo, kusafisha kaburi la mzee na mdugu wengine maana nilitoka kitambo nikiwa mdogo mnoo km miaka 5 hv.
Karibu Ng'ambo hapa nyuma ya Kitete Hospitali....

Sent using my nokia ya tochi
 
Home sweet home, mie mzaliwa wa huko kitete hosptl japo kwa sasa sipo huko, baba yangu marehemu mzee........ Alikuwa akiishi hapo ng'ambo, mimi na mama yangu tukiishi mabatini, bibi na babu mzaa mama wote marehemu wakiishi isevya, bibi mzaa baba akiwepo kazima na babu r.i.p mwenyewe wa kujiita lord lucky man akiishi national..
Marehemu mshua akizikwa makaburi ya ruwenzori kule.. Japo niliondoka mdogo sana huwa nakuja kutembea, mwaka majuzi nilitembelea mgahawa mmoja hapo km unaenda stand nilikula msosi m1 matata kilichonikosha ni kile kisamvu chake, kisamvu kimenoga karanga hatari

Sent using my nokia ya tochi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…