Nishahama kiwanja mkuu.....Nakuja mkuu,,
Naunga mkono hojaHaujawahi kuniangusha jirani...
Ebu tukutane hapa Oxygen
Safi sana kama barabara zimeboreshwa aisee ila hiyo member inabidi iendelee maana inaleta mandhari flani amazingMiembe bado ipo,, ila barabara sikuhiz zimeboreshwa kweli
Mkuu,kulikuwa na kichaa mmoja anaitwa Athumani Nuna aka Nunanga MITAA hiyo hiyo uliyoitaja.Hivi bado yupo hai?Siku nyingi sana.Karibu Ng'ambo hapa nyuma ya Kitete Hospitali....
Weee noomaaa unapajuaa na hukooo ukute tushawahi kwenda pamoja [emoji23][emoji23],hivi bado anapika?Enhee..Isevya kwa ba Kaba🤣🤣🤣
Kwa juma acha kabisaaMkuu umenikumbusha abuja,kila nikifika Tabora huwa lazima ningonge abuja hapo bwalo
🤣🤣🤣🤣🤣enhee bado anapika,mi napenda msosi hatari lazima nijue vijiweWeee noomaaa unapajuaa na hukooo ukute tushawahi kwenda pamoja [emoji23][emoji23],hivi bado anapika?
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaniiii mweee wale kuki hata wakilala unawala bila kuwapasha ni watamu kwelii,,bei yao vipii halaf babu msiri kweli hataki watu wajue viungo anachangaje🤣🤣🤣🤣🤣enhee bado anapika,mi napenda msosi hatari lazima nijue vijiwe
Karibu whatsApp
Amefariki kwenye 2005 hiviMkuu,kulikuwa na kichaa mmoja anaitwa Athumani Nuna aka Nunanga MITAA hiyo hiyo uliyoitaja.Hivi bado yupo hai?Siku nyingi sana.
Athuman nuna na mwajuma ringa malegend haoMkuu,kulikuwa na kichaa mmoja anaitwa Athumani Nuna aka Nunanga MITAA hiyo hiyo uliyoitaja.Hivi bado yupo hai?Siku nyingi sana.
Sawa.
Yule mchizi alikuwa na vituko sana na mkorofi kwa wanawake na watoto.Yaani alikuwa anaufunga mdomo kwa vijiti na mipira akiurefusha kwenda mbele.HahahahaaaAmefariki kwenye 2005 hivi
Kulikuwa na Makambajeki,Amani mwehu,Malingumu na hao wengine ni kiboko.Athuman nuna na mwajuma ringa malegend hao