KAKADO
JF-Expert Member
- Nov 8, 2012
- 230
- 336
Kumekuwa na Juhudi nyingi kufuta Mazuri yaliyofanywa na Hayati Magufuli,Jitihada hizi zinaonekana waziwazi hasa kutokutambua mchango wake kwenye Miradi aliyoiacha,
Katika Daraja jipya la Wami aliloliasisi tumeona mzinduzi alivyokwepa kutambua mhasisi dr Magufuli.
Katika ukaguzi Wa Meli tumeona walIvyochenga kutambua mchango wake.
Anachafuliwa kwakuitwa Dikteta;Dikteta kwakuwa alihakikisha watanzania wanapata huduma muhimu Maji,umeme usafiri,au ni dikteta kwakulinda Rasilimali za nnchi,huenda ni dikteta kwa Sababu aliziba mirija ya watu yaunyonyaji..
Hayati Magufuli kawaachia vyombo vyote vya usalama mnaweza kuvitumia kutuletea ushaidi wa Ubaya wake msijaribu kumchafua watanzania Wanaujua ukweli..
Magufuli anaishi Mioyoni mwa Waranzania,mnapomtamka kwa Mabaya hakikisheni mnajipima vizuri,Time will tell...