CARIFONIA
JF-Expert Member
- Aug 17, 2013
- 616
- 1,453
Siwalijua wanatengeneza mfumo ambao ili uishi ni lazima uwe na hela
Mbona hawatufundishi jinsi ya kutafuta hela, kuitunza hela na kuitawanya ili ikuingizie hela nyingi zaidi?
Wanatufundisha blah blah kibao utasikia mambo yakina Kinjekitile ngwale na biashara za utumwa ndio content mmejaza kwenye bongo za watoto wa watanganyika.
Kama vile nyie mnavyopenda kuishi vizuri hata na wengine wangependa kuishi hivyo pia, ndio hulka ya binadamu kuishi na kupenda vitu vizuri
Kama mnavyowawezesha WATOTO wenu kwa elimu nzuri, wengine mmewapeleka nje na wengine wapo hapa hapa katika shule bora kabisa, wakijifunza vitu vinavyoendana na dunia tuliyopo, watoto wanafundishwa kutengeneza drone, wanafundishwa mambo ya AI, watoto wenu hamuwapeliki kwenye shule za umma sababu manaogopa bongo zao zitajazwa hadithi za kina kinjekitile ngwale na sultan Mangungo wa msovelo
Basi au ndio tuseme mmeamua kutumia hela kama remote ya kutucontrol, yahani mtufanye sisi machawa yenu na walipa bills wazuri.