Wanajua jamani jinsi ya kublock msg za whasap group

Wanajua jamani jinsi ya kublock msg za whasap group

HOPEfull

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2021
Posts
1,882
Reaction score
2,313
Habari wataalam nifafanue kidogo ni kwamba kuna wakati huwa nalifuta faili la whasap kisha nalirudisha.

Sasa hapo ndio huwa shughuli inaanza au tuseme vita ya kiev na moscow inapoanza meseji zinaingia kama upupu.Sasa kuna utaalamu hapo wa kuzizuia hizo msg zisiingie?

Karibuni.
 
Badili namba unayotumia kwenye WhatsApp halafu hiyo namba usiwape ambao hutaki wakutumie msg.
 
Kabla ya kufuta WhatsApp, left kwanza kwenye hayo magroup.
 
Upo kwenye grup afu hutak msg... Si uleft.
 
Back
Top Bottom