Wanajua lolote hawa?

Wanajua lolote hawa?

Indume Yene

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
2,962
Reaction score
721
<style>BODY.wysiwyg { PADDING-BOTTOM: 2px; MARGIN: 0px; PADDING-LEFT: 2px; PADDING-RIGHT: 2px; PADDING-TOP: 2px } .wysiwyg HR.previewbreak { BORDER-BOTTOM-STYLE: none; BORDER-RIGHT-STYLE: none; BACKGROUND-COLOR: red; BORDER-TOP-STYLE: none; HEIGHT: 6px; COLOR: red; BORDER-LEFT-STYLE: none } .wysiwyg { FONT: 13px Tahoma,Calibri,Verdana,Geneva,sans-serif } .wysiwyg.content { FONT: 13px Tahoma,Calibri,Verdana,Geneva,sans-serif } .wysiwyg.forum { FONT: 13px Verdana } .wysiwyg P { MARGIN: 0px } .wysiwyg .inlineimg { VERTICAL-ALIGN: middle } .wysiwyg IMG.previewthumb { MARGIN: 1px; WIDTH: auto !important; MAX-WIDTH: 150px; HEIGHT: auto !important; MAX-HEIGHT: 150px } .wysiwyg OL.decimal LI { LIST-STYLE-POSITION: outside; LIST-STYLE-TYPE: decimal } .wysiwyg OL.upper-roman LI { LIST-STYLE-POSITION: outside; LIST-STYLE-TYPE: upper-roman } .wysiwyg OL.lower-roman LI { LIST-STYLE-POSITION: outside; LIST-STYLE-TYPE: lower-roman } .wysiwyg OL.upper-alpha LI { LIST-STYLE-POSITION: outside; LIST-STYLE-TYPE: upper-alpha } .wysiwyg OL.lower-alpha LI { LIST-STYLE-POSITION: outside; LIST-STYLE-TYPE: lower-alpha } .wysiwyg IMG.previewthumbactive { BORDER-BOTTOM: red 1px solid; BORDER-LEFT: red 1px solid; MARGIN: 0px; BORDER-TOP: red 1px solid; BORDER-RIGHT: red 1px solid } .wysiwyg_block { MARGIN-BOTTOM: 10px } .wysiwyg_block .blockrow:first-child { BACKGROUND: url(https://www.jamiiforums.com/images/styles/JamiiForums/gradients/gradient-greytowhite.png) repeat-x left top } .wysiwyg_block IFRAME.textbox { BORDER-BOTTOM: #6b91ab 1px solid; BORDER-LEFT: #6b91ab 1px solid; PADDING-BOTTOM: 0px; BACKGROUND: #f3f7f9; BORDER-TOP: #6b91ab 1px solid; BORDER-RIGHT: #6b91ab 1px solid } .wysiwyg_block .formcontrols .blockrow { BORDER-TOP-WIDTH: 0px } .wysiwyg { FONT: 13px Tahoma,Calibri,Verdana,Geneva,sans-serif } </style>Jamani hawa vijana wamekosa madarasa? Wanajua lolote walifanyalo hapa?

30xfz9x.jpg
 
Yaanio haya mambo ya mwaka 47 yamerudi tena? Kweli CCM iko desperate
 
Sikujua huu ushenzi (sorry) bado unaendelea.
 
Indume Yene,

Tafadhali sana ndugu naomba utoe maelezo ya hii picha kama utaweza. Imepigwa wapi na lini, ukiweza hata jina la mpiga picha ili kumshukuru kwa uhisani wake.

Sijawahi kuudhika namna hii asubuhi asubuhi kwa kuona picha. Kama hao watoto hizo si uniform zao za kila siku za shule; haki ya nani tena hii ni hujuma kubwa sana kwa watoto hawa.

It's revolting and utterly despicable!! 🙁
 
Mimi nimeiona kwenye blog ya Michuzi, nadhani ni kazi yake bro michuzi. Hakika kuwasilimisha watoto hawa kwa CCM ni aibu kubwa, na inachukua sura ya ajira kwa watoto jambo ambalo ni ukiukwaji wa sheria. Naomba mtu anayejua sheria hasa za uchaguzi atufafanulie kama inaweza kusaidia kuweka pingamizi kwa J.K
 
hawajui walitendalo, ole wao wanaowalazimisha watoto hao kufanya madudu wasioyajua, mwisho wao umekaribia sana.
 
Yaanio haya mambo ya mwaka 47 yamerudi tena? Kweli CCM iko desperate

Hawana njia nyingine ya kukubalika, lazima watumie watoto wetu ili wawatie moyo. Hata hivo hawa watu wanatumia uchawi. Kati ya hao wanaochapa miguu, inawezekana wengine viatu wameazima.
 
hawajui walitendalo, ole wao wanaowalazimisha watoto hao kufanya madudu wasioyajua, mwisho wao umekaribia sana.

Hao watoto hawajui masikini na ndio maana hata suruali walizovalishwa ni kaboka na inasikitisha zaidi huyo anaepita kati haangalii viatu vya vijana,PUMBAVU KABISA
 
Hao watoto hawajui masikini na ndio maana hata suruali walizovalishwa ni kaboka na inasikitisha zaidi huyo anaepita kati haangalii viatu vya vijana,PUMBAVU KABISA

Kwani huyo ni nani? Mi niiona hizo rangi tu napata goosebumps
 
hii picha ni uthibitisho tosha jinsi CCM anavyotumia mbinu chafu kupata votes... Mimi naona hawa watoto wamefanya hivyo ili wapate hizo nguo na kutokana na umaskini huwezi kushangaa kusikia kwamba hizo ndio nguo pekee za sikukuu kwa baadhi ya watoto

Wao hawajui watendalo
 
Kwa vivuli vyao vya jua ni saa sita mchana....walipaswa kuwa shule....halafu hii si ni ajira ya watoto?...:confused2:....I am glad waziri wa utumishi alikuwepo pia....:becky:
 
Back
Top Bottom