Mwenye uzoefu na AUDI A3 2012 2.0 perfomance yake nahitaji kuagiza pia ni ipi site nzuri ya kuagiza gari hapa bongo ambao hawana ubabaishaji.
AUDI A3 1.8 na 2.0 zipo vizuri au miyeyusho View attachment 2242653View attachment 2242654

Kwan tofauti ya 2012 na 2013 kwnye hiyo Gari ni nini??2021 unaweza kupata nzuri au ukapata miyeyusho. kulingana na engine.
Kama unaweza kusogeza nwaka mmoja tu, itapendeza.
Chukua kuanzia 2013.
Kwan tofauti ya 2012 na 2013 kwnye hiyo Gari ni nini??
Kwan tofauti ya 2012 na 2013 kwnye hiyo Gari ni nini??
5Okay 2013 Audi na VW waliacha kutumia engine za EA888 first na Second Gen. na kuamua kustick na Third Gen.
Hizo First Gen na Second Gen za EA888 ni balaa zikiaanza kusumbua. Utamtafuta Mwamposa akuombee maana siyo kwa matatizo utakayokumbana nayo kwenye hiyo engine.
Kama unajiweza iagize kupitia hawa jamaa wa Singapore wanauza used ambazo ni very premium Stocklist | Car Export | Singapore Used Cars Exporters Prestige Auto Export by the way siku hizi gari lolote agiza with confidence zama za kuogopa spare parts zishapita dunia ni kijijiMwenye uzoefu na AUDI A3 2012 2.0 perfomance yake nahitaji kuagiza pia ni ipi site nzuri ya kuagiza gari hapa bongo ambao hawana ubabaishaji.
AUDI A3 1.8 na 2.0 zipo vizuri au miyeyusho View attachment 2242653View attachment 2242654
5
kiongozi je Audi A1 na zenyewe zinatumia hii engine na zenyewe nzuri kuanzia mwaka 2013 ?au hazitumii hizi engine
JituMirabaMinne
Sent using Jamii Forums mobile app
Za Singapore watu wanaziogopaKama unajiweza iagize kupitia hawa jamaa wa Singapore wanauza used ambazo ni very premium Stocklist | Car Export | Singapore Used Cars Exporters Prestige Auto Export by the way siku hizi gari lolote agiza with confidence zama za kuogopa spare parts zishapita dunia ni kijiji