KILIVITE JF-Expert Member Joined Feb 14, 2013 Posts 1,302 Reaction score 556 May 16, 2013 #1 Kama umewahi kupita Kantalamba S.S SUMBAWANGA,RUKWA tafadhali tujikumbushe machache hapa,mimi binafsi nimepita 2000 - 2002 namkumbuka Kanyengele na slang zake ngumu pamoja na njanga,ulikuwa ulitoroka ni lazima ukutane naye,Chijua mzee wa ugimbi!
Kama umewahi kupita Kantalamba S.S SUMBAWANGA,RUKWA tafadhali tujikumbushe machache hapa,mimi binafsi nimepita 2000 - 2002 namkumbuka Kanyengele na slang zake ngumu pamoja na njanga,ulikuwa ulitoroka ni lazima ukutane naye,Chijua mzee wa ugimbi!