Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HapanaUmetishika?
Kaandaa makaburi mawili halafu katulia yani ashaset mitego anasubiri kete kuignia king amalize msibaHii katuni inasadifu wanakoelekea, inasikitisha sana.
View attachment 3194600
mbona ni kaburi mbili?Hii katuni inasadifu wanakoelekea, inasikitisha sana.
View attachment 3194600
Chama cha hovyo sanaKwa hayo anayotuhumiwa Mbowe ni bora chama kife tu kuliko kupotezea watu muda eti pipoz pawa. Ushenzi mtupu
Si ndio nia yenu? Basi mtasubiri sana kifo cha Chadema.Kwa hayo anayotuhumiwa Mbowe ni bora chama kife tu kuliko kupotezea watu muda eti pipoz pawa. Ushenzi mtupu
ije tu ije hiyo ngoma tumalize kazi tiendelee na mambo mengine 🐒Hii katuni inasadifu wanakoelekea, inasikitisha sana.
View attachment 3194600
Mwenyekiti na wenje 😂😂😂mbona ni kaburi mbili?