katika watu waliochangia ujio Emmanuel Amunike ni pamoja na JEMEDARI SAIDI... hii ilikuwa wakati ule Taifa Stars Inaenda Egypt... Viongozi wa TFF waliombatana na timu akiwemo Jemedari ndio walifanya maamuzi na ushawishi, kipindi hicho Amunike yupo Egypt akifundisha soka! Mazungumzo yalianzia pale!