Wanakijiji Pombambili wafanya kongamano kupinga kuuzwa kwa Messi

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
237844585_10158823495224051_719297588702833933_n.jpg

Wanakijiji wa Kijiji Cha Pombambili, wamefanya kongamano kupinga kuuzwa kwa Messi kwenda PSG.

Kongamano limefanyika leo kijijini hapo na kuhudhuriwa na mashabiki wengi sana wa Barcelona wakiwa wamevalia jezi zao maridadi.

Kwa kweli wameumizwa sana
 
View attachment 1891879

Wilaya gani mkoa gani nchi gani watu wanakua wajinga hivi
 
Back
Top Bottom