Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Wilaya gani mkoa gani nchi gani watu wanakua wajinga hiviView attachment 1891879
Wanakijiji wa Kijiji Cha Pombambili, wamefanya kongamano kupinga kuuzwa kwa Messi kwenda PSG.
Kongamano limefanyika leo kijijini hapo na kuhudhuriwa na mashabiki wengi sana wa Barcelona wakiwa wamevalia jezi zao maridadi.
Kwa kweli wameumizwa sana
Nchi ya watu wajinga waliosadikishwa kuwa Mwenge unaleta amani, Tumaini etcWilaya gani mkoa gani nchi gani watu wanakua wajinga hivi
Daaah kwel vituko haviishi aiseeView attachment 1891879
Wanakijiji wa Kijiji Cha Pombambili, wamefanya kongamano kupinga kuuzwa kwa Messi kwenda PSG.
Kongamano limefanyika leo kijijini hapo na kuhudhuriwa na mashabiki wengi sana wa Barcelona wakiwa wamevalia jezi zao maridadi.
Kwa kweli wameumizwa sana
Hisopotamiakijiji kipo Hispania?