Wanakijiji wadai kupigwa, kuteswa na kunyanyaswa na mwekezaji..............

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Posts
219,468
Reaction score
911,184
Gazeti la Majira linatuhabarisha ya kuwa huko Kibaha huu mkasa umewakuta wanavijiji wanyonge..........

sijui wanavijiji hawa walengwa walipigaje kura..............................kama walichagua CCM basi hilo ndilo zao lake........................kama hawakuichagua CCM basi ......it is a matter of time before injustice is brought to a screeching halt.........by Chadema...................................
 
Kibaha si ndio kule kule....watajiju....next time watajifunza
 
Ukisema kibaha napata picha ya Mtwara na Lindi wawe wapole
 
Kibaha si ndio kule kule....watajiju....next time watajifunza

Lakini wengi hawakuichagua CCM ila kura zao zilichakachuliwa......kwa hiyo tuwape pole kwa mikasa iliyowakuta...........
 
Gazeti la Majira linatuhabarisha ya kuwa huko Kibaha huu mkasa umewakuta wanavijiji wanyonge..........

sijui wanavijiji hawa walengwa walipigaje kura..............................kama walichagua CCM basi hilo ndilo zao lake........................kama hawakuichagua CCM basi ......it is a matter of time before injustice is brought to a screeching halt.........by Chadema...................................

Kipande kipi cha Kibaha? Au ni huku bonde la mto Mpiji?
 
Back
Top Bottom