Safety last JF-Expert Member Joined Mar 24, 2011 Posts 4,236 Reaction score 1,411 Jun 2, 2011 #1 Sina maana ya ukanda ila mikoa ya LINDI, MTWARA DODOMA KIBAHA,MBONA HAIZALISHI MABINTI AMBAO NI MASTAA AU WANAOWAKILISHA TAIFA KWENYE MAMBO TOFAUTI TOFAUTI mf riadha ,umiss taifa,BBA,Utangazaji ,nk
Sina maana ya ukanda ila mikoa ya LINDI, MTWARA DODOMA KIBAHA,MBONA HAIZALISHI MABINTI AMBAO NI MASTAA AU WANAOWAKILISHA TAIFA KWENYE MAMBO TOFAUTI TOFAUTI mf riadha ,umiss taifa,BBA,Utangazaji ,nk
khayanda JF-Expert Member Joined Nov 6, 2007 Posts 247 Reaction score 25 Jun 3, 2011 #2 Waulize asilia yao, usiwaone hapa Dar ukafikiri ni wandengereko, wengine wapangwa, wanyakyusa na hata wamakua wapo
Waulize asilia yao, usiwaone hapa Dar ukafikiri ni wandengereko, wengine wapangwa, wanyakyusa na hata wamakua wapo
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,023 Reaction score 12,811 Jun 3, 2011 #3 Si kweli, fuatilia asili ya kila mmoja.
Nicas Mtei JF-Expert Member Joined Dec 21, 2010 Posts 11,556 Reaction score 7,097 Jun 4, 2011 #4 Hivi kumbe kuna mkoa unaitwa kibaha? Mbn mimi ni star na nimetokea sehemu mojawapo kati ya hzo ulzoztaja?
Hivi kumbe kuna mkoa unaitwa kibaha? Mbn mimi ni star na nimetokea sehemu mojawapo kati ya hzo ulzoztaja?