Wanakwaya, Makondakta na MC wameshusha hadhi ya kaunda suti

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
Kaunda suti ilikuwa na hadhi waungwana, kaunda suti ukiivaa hata ukitembea kwa miguu unakuwa na thamani kubwa enzi hizo.

Sasa hawa ma MC walioibuka kama uyoga kila mmoja ana kaunda suti zake. Yaani mtu akichapwa na maisha tu anajiita MC na cha kwanza ni kushona kaunda suti.
 
Umaskini unakusumbua sana asee na ukiendelea hivyo utaliwa ndogo
 
Na watumishi wa Halmashauri ni kama wanashindana kushonda kaunda, bila kuwasahau na Wanasiasa halafu pembeni juu ya mfuko kuna kabendera ka Taifa na kwa kumalizia kuna wanaojifanya Usalama wa Taifa umewasahau nao?
 
Hii nchi ngumu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…