Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,176
Naunga mkono hojaNdugu Wana JF, na hasa wana-mageuzi.
Malaria Sugu amejipambanua kuwa ni mtu mwenye dharau anayependa kukebehi na kusifia upuuzi.
Ninashauri tumkatae. Tumdharau. Tusichangie 'pumba' zake.
Au munaonaje?
Ndugu Wana JF, na hasa wana-mageuzi.

Katika posts zake hana chochote cha maana kabisa kabisa???:glasses-nerdy: sidhani... msimtenge... ila mi mgeni bado...kuna mdau (KAKAKIIZA) alishatoa wito kama huu tukamuunga mkono.
ni kweli kabisa nimeacha kabisa kufungua threads zake na hata nikikuta post yake nascroll kuiruka.
kuanzia hapo sijaumia kichwa tena.
du! du! du! aisii:A S angry: Bongo forums, mtu mmoja majina mia-moja. ukiona ivyo kila jina lina maana yake:smile-big:Yaani wewe bado unachangia thread za Jaaanuaaali Maaakaaaamba? mimi licha ya majina yote anayotumia, Malaria sugu, Braingenius, Ernesto Sheka etc. huwa namgundua mapema na kukwepa thread zake kama kinyesi.