Wanamichezo hebu njooni tuongee kidogo kuhusu Azam Fc

Wanamichezo hebu njooni tuongee kidogo kuhusu Azam Fc

kombaME

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2015
Posts
2,115
Reaction score
2,818
Hii timu ndio iliaminika kuwa mbadala wa Simba na Yanga katika mfumo mzima wa uendeshaji na ili hilo lithibitike lazima timu iwe competitive, lakini naona kama Azam inakoelekea siko kabisa, ilianza vizuri ligi na hii hutokea mara nyingi lakini sasa hivi naona imeanza kurudi nyuma zaidi, mechi 6 mfululizo bila matokeo hii ni dalili mbaya sana.

Hebu tujadili, nini tatizo pale Azam Fc?
 
Airudishe management alioanza nayo awali labda.....
Waswahili uyanga na usimba sana mioyoni japo kibaruani ni azam
 
Boss kubwa Mikia fc lia lia, hapo anazugia kia lishinde ubingwa.
 
Kuna kipindi TBC kinaitwa "Nipe tano" vipindi kadhaa vilivyopita Halid Gangana alifanya mahojiano na CEO wa Azam ambaye ni bwana "Property" humo utajua kwanini bro just get busy.
 
Undugu wao na mikia pia ni tatizo!
 
Wale walilenga zaidi biashara ya MEDIA baada ya kuona wamefanikiwa huko wakaona sasa timu kama inawatia gharama na ndio maaana iliona kipindi kile kama kina Kapombe, Bocco waliachwa kwakuwa walikuwa wanataka mshahara mkubwa (MTAZAMO WANGU)
 
Back
Top Bottom