Wanamichezo hususani wa mpira wa miguu, kuna aliyemwelewa msemaji wa Simba SC, Ndugu Haji Manara?

Magna Carta

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2014
Posts
4,347
Reaction score
6,652
Nilichokiona kama taifa tuna safari ndefu sana kimichezo kama tutakuwa na aina hii ya viongozi katika ngazi ya vilabu, yani Mh Rais aache kufanya kazi za maana aingilie vitu vya kijinga kijinga
 
Attachments

  • 15747491_1852590411627694_4701649239627838359_n.jpg
    15747491_1852590411627694_4701649239627838359_n.jpg
    18.8 KB · Views: 51
Nilichomuelewa Manara ni mosi issue ya Malinzi kujaza Wahaya wenzake pale TFF. Kama kweli hiki kitu kipo na kinaendelea basi anahitaji kurekebishwa. Tanzania hatuendekezi ukabila.
Pili ni issue ya kujirundikia madaraka, Rais wa TFF ni Mwenyekiti wa Chama cha Soka Cha Kagera. Hii Haipendezi, kwani hakuna mtu mwengine wa kujaza hiyo nafasi ya Chama cha Kagera?
 
mkuu lakini kwa haya maneno huoni wewe ndio unaleta ukabila
 
Samahani mzee, Tanzania ni mkusanyiko wa makabila mengi ukiona ofisi imesheheni watu wa kabila moja basi ujue kuna walakini. Mwanzoni Malinzi aliwatimua watu aliowakuta akaanza kupanga safu yake ya Wahaya.
 
Nilichomuelewa Manara ni mosi issue ya Malinzi kujaza Wahaya wenzake pale TFF. Kama kweli hiki kitu kipo na kinaendelea basi anahitaji kurekebishwa. Tanzania hatuendekezi ukabila.
Pili ni issue ya kujirundikia madaraka, Rais wa TFF ni Mwenyekiti wa Chama cha Soka Cha Kagera. Hii Haipendezi, kwani hakuna mtu mwengine wa kujaza hiyo nafasi ya Chama cha Kagera?
Makam mwenyekiti wake ni Excom member wa TFF pia, ni mwenyekiti wa kamati ya mashindano ya TFF. Manara angeanza na huyo wa ndani kwake halafu ndo aende kwa Malinzi

Kwenye kujaza wahaya TFF inabidi aje na figure kwamba kuna jumla ya wafanyakazi kadhaa na idadi ya wahaya ni kadhaa ili tupime ujazo huo, sio kuja na kauli za kisiasa.
 
unajua haya mambo ya ukabila huwa yanaibuka pale ambapo umeshindwa kutimiza matakwa fulani kisingizio huwa ndio kama hivyo,mimi sidhan kama pale tff kuna ukabila kama tunavoaminishwa,nimuombe gentamycine afanyanye uchunguzi huru na atuletee majibu
 
Samahani mzee, Tanzania ni mkusanyiko wa makabila mengi ukiona ofisi imesheheni watu wa kabila moja basi ujue kuna walakini. Mwanzoni Malinzi aliwatimua watu aliowakuta akaanza kupanga safu yake ya Wahaya.
nipe mifano michache tuanze nayo mkuu
 
Mtuache na sisi wahaya tupumue TFF mbona wasukuma nao wanabebwa na SIZO..
 
Nilichokiona kama taifa tuna safari ndefu sana kimichezo kama tutakuwa na aina hii ya viongozi katika ngazi ya vilabu, yani Mh Rais aache kufanya kazi za maana aingilie vitu vya kijinga kijinga
Manara alikuwa ni katibu mwenezi wa ccm mkoa wa Dar akawatia ndimu magamba wenzake pesa za kukodi mabasi kwenda kujaza uwanja kama ilivyo desturi ya maccm, hicho ndicho kilichomuondowa kwenye wadhifa huo huko ccm.

Simba wamemuajili kwa misingi ya kibinadamu tu lakini mtu tapeli kama Haji Manara hawezi kupata ajila popote pale nje ya Simba au ccm walambe matapishi yao.

Sioni uadilifu wa Manara mpaka kujileta kimbelembele kana kwamba ni clean Man.
 
kumbe alikua ccm kama katibu mwenezi ngazi ya mkoa,mbona hajui kujieleza kama kiongozi,viongozi wa namna soka letu halitafika popote
 
unajua haya mambo ya ukabila huwa yanaibuka pale ambapo umeshindwa kutimiza matakwa fulani kisingizio huwa ndio kama hivyo,mimi sidhan kama pale tff kuna ukabila kama tunavoaminishwa,nimuombe gentamycine afanyanye uchunguzi huru na atuletee majibu
Kweli kabisa, hizi kauli za ukabila ni kashfa tu za kisiasa.
 
Manara alikuwa ni katibu mwenezi wa ccm mkoa wa Dar akawatia ndimu magamba wenzake pesa za kukodi mabasi kwenda kujaza uwanja kama ilivyo desturi ya maccm, hicho ndicho kilichomuondowa kwenye wadhifa huo huko ccm.

Simba wamemuajili kwa misingi ya kibinadamu tu lakini mtu tapeli kama Haji Manara hawezi kupata ajila popote pale nje ya Simba au ccm walambe matapishi yao.

Sioni uadilifu wa Manara mpaka kujileta kimbelembele kana kwamba ni clean Man.
Huyu jamaa alimtapeli teja wa watu gari la spaciol

Teja mwenyewe alikuwa kilaza
lakini huyu msemaji alimzurumu

Kumbe jamaa ana matukio mengi
 
Huyu jamaa alimtapeli teja wa watu gari la spaciol

Teja mwenyewe alikuwa kilaza
lakini huyu msemaji alimzurumu

Kumbe jamaa ana matukio mengi[/QUOT
funguka mkuu
 
Jiunge na group la whatsap la betting lenye members zaidi ya watu 130 upate mikeka ya uhakika na ushauri mzuri kuhusu mechi na company za betting. Kujiunga ni bure na ushauri na mikeka yote ni bure. Linki iyo hapo chini.<br /><br /><br /><br />Betting only
 
Back
Top Bottom