Magna Carta
JF-Expert Member
- Jul 14, 2014
- 4,347
- 6,652
mkuu lakini kwa haya maneno huoni wewe ndio unaleta ukabilaNilichomuelewa Manara ni mosi issue ya Malinzi kujaza Wahaya wenzake pale TFF. Kama kweli hiki kitu kipo na kinaendelea basi anahitaji kurekebishwa. Tanzania hatuendekezi ukabila.
Pili ni issue ya kujirundikia madaraka, Rais wa TFF ni Mwenyekiti wa Chama cha Soka Cha Kagera. Hii Haipendezi, kwani hakuna mtu mwengine wa kujaza hiyo nafasi ya Chama cha Kagera?
Samahani mzee, Tanzania ni mkusanyiko wa makabila mengi ukiona ofisi imesheheni watu wa kabila moja basi ujue kuna walakini. Mwanzoni Malinzi aliwatimua watu aliowakuta akaanza kupanga safu yake ya Wahaya.mkuu lakini kwa haya maneno huoni wewe ndio unaleta ukabila
Makam mwenyekiti wake ni Excom member wa TFF pia, ni mwenyekiti wa kamati ya mashindano ya TFF. Manara angeanza na huyo wa ndani kwake halafu ndo aende kwa MalinziNilichomuelewa Manara ni mosi issue ya Malinzi kujaza Wahaya wenzake pale TFF. Kama kweli hiki kitu kipo na kinaendelea basi anahitaji kurekebishwa. Tanzania hatuendekezi ukabila.
Pili ni issue ya kujirundikia madaraka, Rais wa TFF ni Mwenyekiti wa Chama cha Soka Cha Kagera. Hii Haipendezi, kwani hakuna mtu mwengine wa kujaza hiyo nafasi ya Chama cha Kagera?
unajua haya mambo ya ukabila huwa yanaibuka pale ambapo umeshindwa kutimiza matakwa fulani kisingizio huwa ndio kama hivyo,mimi sidhan kama pale tff kuna ukabila kama tunavoaminishwa,nimuombe gentamycine afanyanye uchunguzi huru na atuletee majibuMakam mwenyekiti wake ni Excom member wa TFF pia, ni mwenyekiti wa kamati ya mashindano ya TFF. Manara angeanza na huyo wa ndani kwake halafu ndo aende kwa Malinzi
Kwenye kujaza wahaya TFF inabidi aje na figure kwamba kuna jumla ya wafanyakazi kadhaa na idadi ya wahaya ni kadhaa ili tupime ujazo huo, sio kuja na kauli za kisiasa.
nipe mifano michache tuanze nayo mkuuSamahani mzee, Tanzania ni mkusanyiko wa makabila mengi ukiona ofisi imesheheni watu wa kabila moja basi ujue kuna walakini. Mwanzoni Malinzi aliwatimua watu aliowakuta akaanza kupanga safu yake ya Wahaya.
Pitia hapanipe mifano michache tuanze nayo mkuu
mbona sijaona majina hapo mkuu zaid ya kutaja vyeo ambavyo hakuna uthibitisho wa majina,mambo ya 2013,aksante
Manara alikuwa ni katibu mwenezi wa ccm mkoa wa Dar akawatia ndimu magamba wenzake pesa za kukodi mabasi kwenda kujaza uwanja kama ilivyo desturi ya maccm, hicho ndicho kilichomuondowa kwenye wadhifa huo huko ccm.Nilichokiona kama taifa tuna safari ndefu sana kimichezo kama tutakuwa na aina hii ya viongozi katika ngazi ya vilabu, yani Mh Rais aache kufanya kazi za maana aingilie vitu vya kijinga kijinga
kumbe alikua ccm kama katibu mwenezi ngazi ya mkoa,mbona hajui kujieleza kama kiongozi,viongozi wa namna soka letu halitafika popoteManara alikuwa ni katibu mwenezi wa ccm mkoa wa Dar akawatia ndimu magamba wenzake pesa za kukodi mabasi kwenda kujaza uwanja kama ilivyo desturi ya maccm, hicho ndicho kilichomuondowa kwenye wadhifa huo huko ccm.
Simba wamemuajili kwa misingi ya kibinadamu tu lakini mtu tapeli kama Haji Manara hawezi kupata ajila popote pale nje ya Simba au ccm walambe matapishi yao.
Sioni uadilifu wa Manara mpaka kujileta kimbelembele kana kwamba ni clean Man.
Kweli kabisa, hizi kauli za ukabila ni kashfa tu za kisiasa.unajua haya mambo ya ukabila huwa yanaibuka pale ambapo umeshindwa kutimiza matakwa fulani kisingizio huwa ndio kama hivyo,mimi sidhan kama pale tff kuna ukabila kama tunavoaminishwa,nimuombe gentamycine afanyanye uchunguzi huru na atuletee majibu
Huyu jamaa alimtapeli teja wa watu gari la spaciolManara alikuwa ni katibu mwenezi wa ccm mkoa wa Dar akawatia ndimu magamba wenzake pesa za kukodi mabasi kwenda kujaza uwanja kama ilivyo desturi ya maccm, hicho ndicho kilichomuondowa kwenye wadhifa huo huko ccm.
Simba wamemuajili kwa misingi ya kibinadamu tu lakini mtu tapeli kama Haji Manara hawezi kupata ajila popote pale nje ya Simba au ccm walambe matapishi yao.
Sioni uadilifu wa Manara mpaka kujileta kimbelembele kana kwamba ni clean Man.
Huyu jamaa alimtapeli teja wa watu gari la spaciol
Teja mwenyewe alikuwa kilaza
lakini huyu msemaji alimzurumu
Kumbe jamaa ana matukio mengi[/QUOT
funguka mkuu