Vijana na Wanamichezo Jimbo la Singida Magharibi wamempongeza na kumshukuru Mbunge wa Jimbo hilo Mhe. Elibariki Kingu kwa kutimiza ahadi zake alizowaahidi kipindi cha Kampeni 2020.
Vijana na wanamichezo Jimbo la Singida Magharibi wamempongeza na kumshukuru Mbunge wa Jimbo hilo Mhe. Elibariki Kingu kwa kutimiza ahadi zake alizowaahidi kipindi cha Kampeni 2020.