M mashambani kwao JF-Expert Member Joined Dec 5, 2011 Posts 370 Reaction score 56 Apr 1, 2012 #1 Wakuu naomba kufahamishwa eneo au mahali gani nitapata vifaa vya michezo kwa mfano vyuma,maana nahitaji kunyanyua vyuma vya uzito mbalimbali, mimi naishi bagamoyo,tafadhali.
Wakuu naomba kufahamishwa eneo au mahali gani nitapata vifaa vya michezo kwa mfano vyuma,maana nahitaji kunyanyua vyuma vya uzito mbalimbali, mimi naishi bagamoyo,tafadhali.