super black
JF-Expert Member
- Sep 11, 2016
- 566
- 533
mwanaume huwezi kushadadia vitu kama hiviMleta mada ni me
Hatulalamiki kwakuwa hatuna malalamikomwanaume huwezi kushadadia vitu kama hivi
nyie ndio mlitakiwa mlalamike
Upungufu wa nguvu unatokea pale unapokutana na mwanamke asie na amsha amsha nguvu zinatoka wapi sasa
sasa kinachonishangaza kwanini malalamiko yatoke kwa vidume??Hatulalamiki kwakuwa hatuna malalamiko
Mkuu amsha amsha kwa mwanamme za nnUpungufu wa nguvu unatokea pale unapokutana na mwanamke asie na amsha amsha nguvu zinatoka wapi sasa
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] huo ndio utafiti sio lazima uwe mkazi wa ukoUliwapa wakashindwa? Ulishaambiwa ni 33% ya watu 672 waliofanyiwa utafiti Dar. Jiji lina watu wangapi? Halafu jiji ni kitovu cha kibiashara, una uhakika gani waliohusika kwenye utafiti wote ni wakazi wa kudumu wa Dar?
Sent using Jamii Forums mobile app
Cc Sky Eclat naona unanitusiMleta mada ni wa kiume au wa kike? Kama ni wa kiume inawezekana unatafuta wateja
Tulalamike nn hzo ni taft tumwanaume huwezi kushadadia vitu kama hivi
nyie ndio mlitakiwa mlalamike
Unawatusi waume zetu atii