super black
JF-Expert Member
- Sep 11, 2016
- 566
- 533
- Thread starter
-
- #21
Sikupitia mkuuMbona hii mada tumeshaichangia sana tokea juzi kama siyo jana ilipoletwa humu na baadhi ya Members?
Nabii aliyeoteshwa kuwa kufika Mbezi wa 7 tutakuwa tumeukimbia mji akajipange upya.Bado tupo mjini mwezi wa saba huu unakatika tunabanana hapahapa haondoki mtu
Sent using Jamii Forums mobile app