Uchaguzi 2020 Wanamoshi tuna jambo letu zito

JOYOPAPASI

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2016
Posts
250
Reaction score
409
SISI MOSHI MJINI TUNAJAMBO LETU NA PRISCUS WETU [emoji1241][emoji1241]

Hadidu rejeaa, Ni baada ya Mchakato wa Siku zisizopungua tano za Vikao vya Juu ya CCM na Hatimaye Kumpata Mgombea Makini na Mwenye uwezo atakayeweza kulikomboa Jimbo la Moshi Mjini na viunga vyake na hata wapinzania wameahidia kwa vidole vyao vya Mikono kuwapigia Kura Madiwani wa CCM katika Maeneo yao na Mbunge PRISCUS TARIMO wa Jimbo lao na Piaa wameahidi kuandika historiaa daima dunia na kupeleka salamu kwa Mabeberu kuwa Watampaa kura za kishindo zilizojaaa *DKT. JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI* kwa sababu hawanashaka na yeye wala utendaji wake na Wengine imepelekea hata kusema "Atawale Milele"......

Katika Viunga vya Moshi Mjini wamempongeza Raisi na kumsifia kwa kusema ili wezekana angepita bila kupingwa na wagombea wengine wangalimua kumuunga tu Mkono JOHN POMBE MAGUFULI maana wao hawana sifa na wala hawana muda wa kupoteza wa kusikiliza sera za Mpinzani yoyote, kwa juhudi na Uwezo alionao hakuna wakusema atashindana na yeye waliwaombaa wajiengue na Kumpisha aendelee kuchapa kazi na Kulijenga taifaa..

Mpaka hivi leo WanaMoshi wanamwaga machoz ya furaha kwa Nchi yao kufikia Uchumi wa kati, Diplomasia Makini nje ya Nchi , Sera ya Tanzania ya viwanda mafanikio yanaonekana, Sera ya Elimu bure , Wahujumuu Uchumi kushughulikiwa pamoja na Mafisadi, Walarushwaa na watoa Rushwa hata katika chama chake ameonesha mfano mzuriii pia Ufufuaji wa Shirika la Reli hususani kanda ya kwetu kaskazini ambao ndo ulikuaa tegemeze kubwa kwa maendeleo ya wanamoshi na viunga vyake kwa kweli hayo hatuna shaka nae na tunatamani aendele kutawala milele..

MAGUFULII AGAIN
MAGUFULI MITANO TENA
MAGUFULI ANATOSHA HANA MPINZANI.

Comred Selemani Ayubu
*Mjumbe wa baraza la Vijana Mkoa Kilimanjaro*
 
Reactions: UCD
Msisahau pia kumwomba awafufulie ile benki yenu ya KCBL iliyokufa pale Moshi na awashughulikie mafisadi waliyoiua.
 
Hapo mmechemsha, huyo priskusti hajulikani wala hatambuliki mtaani. Wanachama wamening'ata skio "Ni pandikizi la Devis Mosha" eti anamuandalia njia

MOSHI niijuavyo mimi siyo ya kuongozwa na mapandikizi, kazi mnayo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
ivi nyie wachaga mna sehemu katika ufalme wa yesu wa hapa nchini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…