Wanamsifia Mpanzu kabla hata ya kumuona akicheza uwanja. Wachambuzi wa mpira wa Tanzania ni laana

chala41

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2024
Posts
300
Reaction score
606
MIMI NI MNYAMA ILA KUNA VITU VINANIKWANZA SANA
Hii nchi Ina watu wa hivyo sana ambao wanachojua wao ni kusifia tu kama wamekunywa maji ya chooni.

Sijui huwa wanalipwa na mabrokers wa 10% kuwaandika vizur wachezaji wanaotakiwa na timu kubwa za tanzania?

Mutale walipambwa sana lakin uwezo wake ni wakawaida sana sidhani kama anampata chasambi ni vile tu dogo anatokea moro Town

Sidhani kama anamfikia hata robo amadi majimengi wa singida Big star

Ni hivyo tu wametoka nje tunatakiwa kufumba macho

Jean Charles ahoa anachomzidi awesu ni mshahara tu sio uwezo

Valentino nouma anamzidi msindo restaurant na mshahara tu sio uwezo

Mukwala na boco naweza kusema boko alikuwa ana nafasi yule mukwala ni tapeli wa mpira mwenye rasta

Wachambuzi mnazingua sana kwa kutafuta followers kwa nguvu za timu kubwa.

Mshatuingiza chaka hao waliopita kwa kuwasifia sana na sasa hivi mnakuja na mpanzu kila mchambuzi anamsifia utadhani akija yeye simba itakuwa ishakamilika kila idara .

Wachambuzi wa bongo acheni ushenzi aiseee nyie ndio mnazi ingiza hizi timu mkenge kwa kuleta wachezaji wa kawaida ambao hata hapa hapa tandika wapo ila mnawavalisha rasta za vipaji

Hawa watoto wa crown wanapenda sana kusifua ujinga na siku hizi kuna online media kibao ni wachambuzi mpaka baba level na yeye anazungumzia mpira

Ukiwa na suti yako moja tu ukikaa kwenye Mike basi unachambua mpira

Muulize mchambuzi yeyote yule kashawai kumuona mpanzu mechi gani akicheza dakika 90 alafu umuone. Wao huwa wana angalia clips za YouTube tu tayar wanakuja kutuelezea wakati kila mtu kamuona Huko YouTube.
 
MIMI NI MNYAMA ILA KUNA VITU VINANIKWANZA SANA
Hii nchi Ina watu wa hivyo sana ambao wanachojua wao ni kusifia tu kama wamekunywa maji ya chooni.

Sijui huwa wanalipwa na mabrokers wa 10% kuwaandika vizur wachezaji wanaotakiwa na timu kubwa za tanzania ?

Mutale walipambwa sana lakin uwezo wake ni wakawaida sana sidhani kama anampata chasambi ni vile tu dogo anatokea moro Town

Sidhani kama anamfikia hata robo amadi majimengi wa singida Big star

Ni hivyo tu wametoka nje tunatakiwa kufumba macho

Jean Charles ahoa anachomzidi awesu ni mshahara tu sio uwezo

Valentino nouma anamzidi msindo restaurant na mshahara tu sio uwezo

Mukwala na boco naweza kusema boko alikuwa ana nafasi yule mukwala ni tapeli wa mpira mwenye rasta

Wachambuzi mnazingua sana kwa kutafuta followers kwa nguvu za timu kubwa.

Mshatuingiza chaka hao waliopita kwa kuwasifia sana na sasa hivi mnakuja na mpanzu kila mchambuzi anamsifia utadhani akija yeye simba itakuwa ishakamilika kila idara .

Wachambuzi wa bongo acheni ushenzi aiseee nyie ndio mnazi ingiza hizi timu mkenge kwa kuleta wachezaji wa kawaida ambao hata hapa hapa tandika wapo ila mnawavalisha rasta za vipaji

Hawa watoto wa crown wanapenda sana kusifua ujinga na siku hizi kuna online media kibao ni wachambuzi mpaka baba level na yeye anazungumzia mpira

Ukiwa na suti yako moja tu ukikaa kwenye Mike basi unachambua mpira

Muulize mchambuzi yeyote yule kashawai kumuona mpanzu mechi gani akicheza dakika 90 alafu umuone. Wao huwa wana angalia clips za YouTube tu tayar wanakuja kutuelezea wakati kila mtu kamuona Huko YouTube.
Una angaika na wasatonge.
 
Kwani huyo Mpanzu alikuwa anacheza netbal sasa ndo anakuja kwenye futbol?
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Back
Top Bottom