Hawa jamaa hawana mistari / sauti romantic /beats kali ktk lugha kubwa kama Kiingereza au Kiswahili sasa wanadhani Redio/Tv zao watapata wapi revenue za matangazo kwa kupiga ''beats'' mbaya ktk kilugha/sheng slang, maana angalau hata beats zingekuwa nzuri ktk kilugha/sheng slang watu wangesikiliza bila kuelewa ujumbe mfano nyimbo za ''luganda, Zulu, Kilingala, Yoruba, Nigeria Pidgin English, Jamaican Patois, Spaniola'' n.k