Wanamuziki kutoa video za kubuhusiana zina faida gani?

Big Eagle

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2020
Posts
592
Reaction score
625
Wanamuziki kwenye nyimbo zao za video wamekua wakibuhusiana wakati mademu hao si wao inasaidia nini?

Unakuta nyimbo ni nzuri kusikiliza ila ukija kutazama video utamani hata watoto wako waiangalie hii wadau mwaionaje?
 
"Kubuhusiana"
Shida ni kubusu au shida ni kubusu dem ambae sio wake!?
 
Wanamuziki kwenye nyimbo zao za video wamekua wakibuhusiana wakati mademu hao si wao inasaidia nini?

Unakuta nyimbo ni nzuri kusikiliza ila ukija kutazama video utamani hata watoto wako waiangalie hii wadau mwaionaje?
Hakuna faida, na tatizo ni ninyi waangaliaji wa hizo video, kama tu wote tungewapuuza na kushughulika na mambo yenye manufaa kwa maisha yetu basi lazima wasanii hao wangekaa chini na kutafuta kujua wanachokosea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…