Mare man
Senior Member
- Dec 31, 2012
- 197
- 215
nimejaribu kufatilia Sanaa wanayofanya wanamziki wa bongo nimekuja gundua bado wapo karne ya 20, fikiria mpaka leo mwanamziki anashindwa kuweka lyrics za nyimbo zake mtandaoni, sisi washabiki wao tukizitaka tunapata tabu kweli kuzipata, yatulazimu kusikiliza nyimbo hzo tukiwa na pen na karatasi, wanaturudsha enzi za nineteen kweusi