Wanamuziki wa bongo bado wanaishi karne ya 21

Mare man

Senior Member
Joined
Dec 31, 2012
Posts
197
Reaction score
215
nimejaribu kufatilia Sanaa wanayofanya wanamziki wa bongo nimekuja gundua bado wapo karne ya 20, fikiria mpaka leo mwanamziki anashindwa kuweka lyrics za nyimbo zake mtandaoni, sisi washabiki wao tukizitaka tunapata tabu kweli kuzipata, yatulazimu kusikiliza nyimbo hzo tukiwa na pen na karatasi, wanaturudsha enzi za nineteen kweusi
 
wenzetu ni biashara kubwa sana huko kuhusu lyrics ila bongo hatueleweki tunachoimba ndo mana kuna nyimbo hata kutafsiri lyrics ni kazi kweli kweli
 
wimbo wa taifa una lyrics, inatosha kuwakilisha hz nyingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…