Kwa sababu wale jamaa ni matapeli wa kutupwa. Hawana jipya nje ya afrika. Pili, huko kwingine hawapendwi. Kila taifa linawaogopa na kuwakimbia. Si ajabu hata products zao za kisanii kama mziki watu wanakuwa hawana hamu nao. Ukimchukia mtu unachukia na kila kitu chake. Ndo kanuni mkuu.
Sasa ndg yangu mbona hujauliza watz wangapi wanatamba Afrika mashariki au afrika unawaulizia wanigeria tu?? tupe sababu ya kufikiria hivyo.Sasa hivi africa nzima wanamuziki wa nigeria
wanatamba.....
Sasa mimi huwa najiuliza hivi kwa nini hawatambi dunia nzima?????
I mean sijawahi sikia labda p square ft snoop hivi
au j martin ft beyonce....
Nini kinachowafanya wasitambe duniani?
Mbona wajamaica wanaweza?????
Wanaigeria wanashindwa vipi?
Sijawahi sikia wako kwenye chart ya bilboard hivi...
Au wanakubalika us na europe labda lakini mimi sijasikia...
Sasa hivi africa nzima wanamuziki wa nigeria