Wanamuziki Wa Tanzania Walioongoza Kazi Zao Kutazamwa Zaidi YouTube 2020

Wanamuziki Wa Tanzania Walioongoza Kazi Zao Kutazamwa Zaidi YouTube 2020

Chibudee

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2016
Posts
1,775
Reaction score
2,404
Diamond Ashika Nafasi Ya Kwanza Akifatiwa Na Harmonize

Huku Nandy Akiwa Mwanamke Pekee Katika List Hio
officialnandy-20200201-0001.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Diomond ananunua views kwa kulipia ads za youtube video ya nana.
Screenshot_20200124-142229.png

Kwa hiyo waliondaa takwimu za huo mwezi wanapaswa kuzingatia hilo.
 
Hata kiba kuna wimbo ana 67M+ views ,sema hataki show off ameutoa kwenye channel yake
 
Yaani Mondi 38m anayemfuatia 11m, hata Liverpool hajaacha wenzake kwa umbali huo.
 
Back
Top Bottom