Wanamuziki Wa Tanzania Walioongoza Kazi Zao Kutazamwa Zaidi YouTube 2020

Diomond ananunua views kwa kulipia ads za youtube video ya nana.

Kwa hiyo waliondaa takwimu za huo mwezi wanapaswa kuzingatia hilo.
 
Hata kiba kuna wimbo ana 67M+ views ,sema hataki show off ameutoa kwenye channel yake
 
Yaani Mondi 38m anayemfuatia 11m, hata Liverpool hajaacha wenzake kwa umbali huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…