Kingo Janta
JF-Expert Member
- Feb 14, 2014
- 319
- 262
Alikiba Apambane.. yeye ndo kafunga dimbaAmbao wako chini,wapambane wafike juu.
Yani ameshika mkiaAlikiba Apambane.. yeye ndo kafunga dimba
Hongera zao.WANAMUZIKI WA TANZANIA WALIOTAZAMWA ZAIDI YOUTUBE NOVEMBA 2022
1. diamondplatnumz
2. @OfficialZuchu
3. @rayvanny
4. @harmonize_tz
5. @mbosso_
6. @realjaymelody
7. @Marioo_Tz
8. @mavokali_
9. @nkoneupendo
10. @OfficialAliKiba
Chanzo #ChartsTanzaniaView attachment 2435767
Anapumulia pua moja, akina MAVOKALI wanamfunika.Alikiba Apambane.. yeye ndo kafunga dimba
kama ingekua shule tungesema alikiba ni KIZIBOYani ameshika mkia
Endelea kukaza ubongo ivo ivo wakat watu wanatengeneza pesaHizi data sijawahi kuziamini coz mara nyingi n za kupikwa[emoji706]
Mavokali ni watanzania?WANAMUZIKI WA TANZANIA WALIOTAZAMWA ZAIDI YOUTUBE NOVEMBA 2022
1. diamondplatnumz
2. @OfficialZuchu
3. @rayvanny
4. @harmonize_tz
5. @mbosso_
6. @realjaymelody
7. @Marioo_Tz
8. @mavokali_
9. @nkoneupendo
10. @OfficialAliKiba
Chanzo #ChartsTanzaniaView attachment 2435767
Mtu na manzi yakeWANAMUZIKI WA TANZANIA WALIOTAZAMWA ZAIDI YOUTUBE NOVEMBA 2022
1. diamondplatnumz
2. @OfficialZuchu
3. @rayvanny
4. @harmonize_tz
5. @mbosso_
6. @realjaymelody
7. @Marioo_Tz
8. @mavokali_
9. @nkoneupendo
10. @OfficialAliKiba
Chanzo #ChartsTanzaniaView attachment 2435767
Namba 4 ni nani mkuu....au konde boy yupi unamuongelea??Konde boy .....Kila siku anatoa Ngoma trending..,lkn hayupo...
Ni mtanzania ana wimbo wake unapendwa sana huko uzunguniMavokali ni watanzania?
Nilifananisha na wale wadada wa kenya, wanavokaliNi mtanzania ana wimbo wake unapendwa sana huko uzunguni
Nlimaanisha sio wa kwanza