Wanamuziki watano wa Hip Hop matajiri zaidi duniani

Ingefaa kuitwa "washika dau wa hip hop" rather. Watu kama Diddy na Birdman ni wafanya biashara/wawekezaji kwanza, usanii/uanamuziki badae. Ingependeza pia zihesabiwe hela walizotengeneza kupitia hip-hop pekee, coz watu kama Drake na Diddy wanafanya pop pia.
 
Asante mkuu nilijua mwenye shares nyingi ni Dre
 
Asante mkuu nilijua mwenye shares nyingi ni Dre
Hapana. Actually kampuni ya kutengeneza simu ya HTC ndio walikuwa majority shareholders kabla ya kuuza share zao kwa mfuko wa uwekeza wa Carlyle Group. Pia CEO na partner wa siku nyingi wa Dre kwenye biashara ya muziki Jimmy Iovine naye alikuwa shareholder.

Sent from my SM-G530H using JamiiForums mobile app
 
vp kuhusu hapa bongo? wasanii wetu wa hiphop wapo vp kimaslahi?
 
Kanye West Vp!! Watuambie Na Upande Wa Kikeni Nani Mwenye Mawe Ya Kutosha? Namuona Mke Wa Jayz! Ila Mke Wa Diddy Simuoni!!!
 
Nilimsikia Diamond akisema yeye ni mwanamziki Tajiri wakati anahojiwa na Clouds mbona simuoni hapo kwenye list? Au Mwanamziki Tajiri wa MADALE?
Hahaha kwani alikua anazungumzia wapi? Ni tajiri kwa hapa Tz
 
Mkuu ujasiliamali ni moja ya misingi/nguzo ya hip hop, kwahiyo kinachofanyika ni sawa ukizingatia na huu ni mfumo ya ubepari, unachokipata lazima uwekeze ili ujiongezee kipato
 
Mkuu ujasiliamali ni moja ya misingi/nguzo ya hip hop, kwahiyo kinachofanyika ni sawa ukizingatia na huu ni mfumo ya ubepari, unachokipata lazima uwekeze ili ujiongezee kipato

I did not question or discuss their credibility in hip-hop, just semantics sorta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…