Mara nyingi nimekuwa nikifuatilia performance ya wanamuziki wetu hasa wa Bongo flava wanapokuwa stejini, kwa ujumla inakera. Inafikia hatua mpaka unajiuliza hivi huyu ndiye mwenye wimbo ninao usikia kwenye cd fulani? Ni kwa nini wanakosa confidence namna hiyo? Tatizo ni nini!
Mm hadi leo wasanii wengi wananiboa na wao ndio wakwanza kuangalia BET sijui hawajifunzi yanayoendelea huko BET watu wanapiga show ya ukweli snaa huku mara aache na aanza kucheza.
Angalia show za coco beach full upuuzi
Wanakera mno!!! unalipa kiingilio halafu ukifika huko Unaanza kulazimishwa "....NYANYUA MIKONO JUUUUU..."
KHA!! kero heri uishie kuwasikiliza tu kama unawapenda