Salamu.
Hivi hili neno Kipusa siku hizi limebadilika maana yake?. Nifahamuvyo mimi nifahamuvyo maana yake kwa mujibu wa TUKI ni:
.kipusa nm vi- [ki-/vi-] rhino horn. 2 (sio rasmi) beautiful young lady.
Sasa huu wimbo unaovuma sana nashindwa kuuelewa. Ni vema wasanii wakawa wanasoma na kutafuta maana ya maneno kabla ya kuyatumia