Wanamziki wangu bora kwa nyimbo za injilj

nashukuru mzima

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2017
Posts
1,014
Reaction score
1,903
Ukiniambia muimbaji gani wa nyimbo za injili ninayemkubali nchini nitakuambia .

Ambwene Mwasongwe.

Boaz dunken.

Dr ipyana.

Abiudi misholi.

Paul mwangosi.

Wanaimba nyimbo katika roho na kweli,na hawana skendo za ovyo.

Sijamuona bado mwanamziki wa nyimbo za kike anayeimba rohoni kwa Tanzania
 
Hao ni waimbaji wa miaka gani?

Mimi nawakumbuka wale wa enzi zangu kina Malebo, wale waliimba Lulu, Kijitonyama evangelical choir, kuna tule aliimba Mbinguni hatuendi kwa kuvaa misalaba, ba wengine wengi wa miaka ya 90 hivi na Early 2000.

Miaka hiyo mimi ni mkiristo safi kabisa, nasali sala zote, ibada zote na kila kitu.

Tukiachana na hayo, Mungu hayupo. Dini ni utapeli kama utapeli mwingine.
 
Ukiniambia muimbaji gani wa nyimbo za injili ninayemkubali nchini nitakuambia .

Ambwene Mwasongwe.

Boaz dunken.

Dr ipyana.

Abiudi misholi.

Paul mwangosi.

Wanaimba nyimbo katika roho na kweli,na hawana skendo za ovyo.

Sijamuona bado mwanamziki wa nyimbo za kike anayeimba rohoni kwa Tanzania
Christopher Mwahangila umemsahau huyu mtaalam wa mziki wa gospel
 
Na sisi wapenzi wa Bolingo tunarusiwa kuweka wanamuziki wetu bora kabisa wa wakati wote, kwenye huu uzi?
 
Hao ni waimbaji wa miaka gani?

Mimi nawakumbuka wale wa enzi zangu kina Malebo, wale waliimba Lulu, Kijitonyama evangelical choir, kuna tule aliimba Mbinguni hatuendi kwa kuvaa misalaba, ba wengine wengi wa miaka ya 90 hivi na Early 2000.

Miaka hiyo mimi ni mkiristo safi kabisa, nasali sala zote, ibada zote na kila kitu.

Tukiachana na hayo, Mungu hayupo. Dini ni utapeli
Zaburi 14:1
[1]Mpumbavu amesema moyoni, Hakuna Mungu;
Wameharibu matendo yao na kuyafanya chukizo,
Hakuna atendaye mema.
 
Ambwene alikuwa wa zamani sa hv amelewa penzi la Yule mdada anaimba nashauri mepesi Sana , akina abiudi, akina mnishi wote walikuwa vzuri japo kumantain consistency imewashinda....japo hapendeki lakini kweli usemwe Rose mhando ni next level, amesimama kwenye chart mbali na upside down nyingi , labda Kwa vile anatumia beat nzito na kucheza Sana ( Mimi mwenyewe issue ya kucheza inaniboa) ndo mana naishia kumsikiliza nyimbo zake Kwa mfumo wa Audio ...
 
kwanza mimi si mpenzi wa video

Rose anajua bhana tuache utani tafuta wimbo mmoja unaitwa 'shujaa wa msalaba' mule hajaruka ruka kabisa
 
Ukiniambia muimbaji gani wa nyimbo za injili ninayemkubali nchini nitakuambia .

Ambwene Mwasongwe.

Boaz dunken.

Dr ipyana.

Abiudi misholi.

Paul mwangosi.

Wanaimba nyimbo katika roho na kweli,na hawana skendo za ovyo.

Sijamuona bado mwanamziki wa nyimbo za kike anayeimba rohoni kwa Tanzania
1. Fanuel Sedekia
2. Fanuel Sedekia
3. Joel Lwaga
 
Back
Top Bottom