nashukuru mzima
JF-Expert Member
- Jul 11, 2017
- 1,014
- 1,903
Mkuu vyote alivyoandika jamaa wewe umeona hiyo typo tu? Uwezo wako ni kuona vitu vidogo vidogo tu visivyo na maana.Injilj ndio aina gani hiyo???
Christopher Mwahangila umemsahau huyu mtaalam wa mziki wa gospelUkiniambia muimbaji gani wa nyimbo za injili ninayemkubali nchini nitakuambia .
Ambwene Mwasongwe.
Boaz dunken.
Dr ipyana.
Abiudi misholi.
Paul mwangosi.
Wanaimba nyimbo katika roho na kweli,na hawana skendo za ovyo.
Sijamuona bado mwanamziki wa nyimbo za kike anayeimba rohoni kwa Tanzania
Nimemtaja now..Christopher Mwahangila umemsahau huyu mtaalam wa mziki wa gospel
Mnafiki haviki mbaliMkuu vyote alivyoandika jamaa wewe umeona hiyo typo tu? Uwezo wako ni kuona vitu vidogo vidogo tu visivyo na maana.
Zaburi 14:1Hao ni waimbaji wa miaka gani?
Mimi nawakumbuka wale wa enzi zangu kina Malebo, wale waliimba Lulu, Kijitonyama evangelical choir, kuna tule aliimba Mbinguni hatuendi kwa kuvaa misalaba, ba wengine wengi wa miaka ya 90 hivi na Early 2000.
Miaka hiyo mimi ni mkiristo safi kabisa, nasali sala zote, ibada zote na kila kitu.
Tukiachana na hayo, Mungu hayupo. Dini ni utapeli
kwanza mimi si mpenzi wa videoAmbwene alikuwa wa zamani sa hv amelewa penzi la Yule mdada anaimba nashauri mepesi Sana , akina abiudi, akina mnishi wote walikuwa vzuri japo kumantain consistency imewashinda....japo hapendeki lakini kweli usemwe Rose mhando ni next level, amesimama kwenye chart mbali na upside down nyingi , labda Kwa vile anatumia beat nzito na kucheza Sana ( Mimi mwenyewe issue ya kucheza inaniboa) ndo mana naishia kumsikiliza nyimbo zake Kwa mfumo wa Audio ...
wimbo wa nani niutafuteYouTube HAKIMU WA HAKI
Wimbo unabariki sana
Yule mama Hana mpinzani , bas tuukwanza mimi si mpenzi wa video
Rose anajua bhana tuache utani tafuta wimbo mmoja unaitwa 'shujaa wa msalaba' mule hajaruka ruka kabisa
1. Fanuel SedekiaUkiniambia muimbaji gani wa nyimbo za injili ninayemkubali nchini nitakuambia .
Ambwene Mwasongwe.
Boaz dunken.
Dr ipyana.
Abiudi misholi.
Paul mwangosi.
Wanaimba nyimbo katika roho na kweli,na hawana skendo za ovyo.
Sijamuona bado mwanamziki wa nyimbo za kike anayeimba rohoni kwa Tanzania
Asante sana National