Wananchi acheni nongwa

Wananchi acheni nongwa

Smart AJ

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2022
Posts
5,564
Reaction score
5,884
Wananchi acheni nongwa[emoji38][emoji38]
Screenshot_20230416-021522_Instagram.jpg


By the way kuna hii nyingine ya yahya mbegu, huu ni usajili bora sana wa ndani, kama ni kweli.
 
Ghafla tu Simba imekuwa ni timu masikini! Yaani inamtegemea mchezaji anayecheza kwa mkopo!

Kwani ile jeuri ya kusajili akina Caesar Manzoki, Adebayor, Stephane Aziz Kii, Bobosi, na wengineo wengi; iliishia wapi! Kiasi cha kupewa mchezaji wa mkopo kutoka Tp Mazembe?
 
Back
Top Bottom