Ghafla tu Simba imekuwa ni timu masikini! Yaani inamtegemea mchezaji anayecheza kwa mkopo!
Kwani ile jeuri ya kusajili akina Caesar Manzoki, Adebayor, Stephane Aziz Kii, Bobosi, na wengineo wengi; iliishia wapi! Kiasi cha kupewa mchezaji wa mkopo kutoka Tp Mazembe?