Wananchi bado sana. Dk 82 mechi ni sare, simu zimepigwa nyingi sana kwa viongozi wa Dodoma Jiji

je parle

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2018
Posts
2,022
Reaction score
3,919
Ndugu zetu wamechukua kombe lakini njia walizopitia zinasikitisha sana.

Kama unajitekenya halafu unacheka mwenyewe. Jamaa wametumia A4 sana katika mechi zao.

Kwa haraka haraka unaweza sema mayele anapiga magoli ya maana lakini nyuma ya pazia wenyewe wanajua wanachokifanya kwa timu pinzani.

Mpira uki angalia kupitia Azam TV unaona vijana wanapambana lakini ukiwa uwanjani pale mambo ni TOFAUTI maelezo ni mengi kwa timu pinzani.

Napenda kusema kwa hisani ya marefa yanga Iko juu. Kama Kuna refa hajapiga bati nyumba yake basi huyo ajitafakari sana maana jamaa walijipanga kwa nguvu zote ili wawe promoted Kule CAF.

Hizi hapa mechi zao za MCHONGO
Angalia mechi ya Yanga vs Mtibwa pale Manungu complex lile goli la Aziz ki.

Angalia game ya Geuta vs Yanga lile goli la penalt nje ya box.

Angalia mechi ya Yanga vs Namungo pale Majaliwa stadium goli ya Bangala.

Utaona mauza mauza matupu. Then wanakuja kujisifia hapa kwa jukwaa.

Ndio maana hawa mabwana walishiriki African champion league miaka minne mfululizo walikuwa wanaotolewa preliminary round.

Kuna yule zuhura aliwaambia kuwa wao ni Bora Africa eti KISA kamfunga zalan goli tisa. Timu ambayo hata temeke squad ni Bora KULIKO wale.

Kiufupi hawa jamaa sishangai kuambiwa walichukua ubingwa mara 29. Hainistui coz kwa sasa tu Kuna Azam TV Kila mtu anaona lakin mechi zao nyingine wanazicheza kwa tigopesa.

Je, kipindi ambacho kulikuwa hakuna hata media inayoonyesha? Nadhani refa kwa mapenzi yake tu alikuwa anaamua iwe penati kwa kuwa hii ni timu ya kihistoria zaidi.

Ila wanangu wananchi mnaupiga mwingi lakini mnapita sana njia za panya. Ujanja ujanja umekuwa mwingi.

Hongereni mabingwa WA MCHONGO!


Mechi ya Leo mlipagawa kuona dk ya 82 bado ngoma suluhu mkabidi mpige simu zenu kubwa kwa DODOMA JIJI
 
Maelekezo Uwanjan yamefikishwa na beki wao wa zamani ADEYUM SALEHE angalia tokea alipoingia tuuuu jamaa wakasawazisha na kuongeza goli. Kuna wadau walipoona hiyo sub wakasema subirin adeyum anaenda kupeleka nini na kweli ikawa ivo
 
Mmetoka kugongwa na Azam FC maelekezo mlipewa na nani? mbona mnakua wajinga sana?
 
Hakika RAGE APEWE TUZO...
Badala muunde timu bado mmaleta upumbavu.! Msimu ujao tena mtaendelea hivihivi na kina sawadogo
 
Umeandika kwa hisia zenye hasira ndani yake.nakushauri chukua mo moja na superburudan moja mix kunywa na ulale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…